MUONEKENO WA IRENE UWOYE KWENYE KIPINDI CHAKE KIPYA:
Irene Uwoya ameshaanza mpango mzima wa kutembelea nyumba na kuzifanyia ukarabati akiwa kwenye harakati za ku-shoot show yake. Unaambiwa Irene kwenye show anaonekana kama
mkandarasi kabisa akiwa amevaa overall na kofia ya wajenzi. Cheki hizi picha akiwa busy na crew yake wakiandaa hii show.
No comments:
Post a Comment