Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa siku kama hii ya leo..... Nikiwa bado kweye jiji la Malkia Elizabeth na Dancers wangu Dumi utamu & Moses Iyobo Salama kabisa tukiwa Heri wa Bukheri.......Ni siku nyingine nkaona isiwe mbaya kuwajuza watu wangu wa Nguvu kuwa Niko salama......Na nipo tayari kuanza mishemishe za hapa na pale kuzunguka jiji la malkia elizabeth kufanya Shopping kama kawaida Kukamilisha Usafi ni n nini na nini.......kufanya mikakati kwenda sahawia!!
ZIFUATAZO NI PICHA NIKIZUNGUKA JIJINI LONDON KUFANYA SHOPPING: |
No comments:
Post a Comment