Karrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown
alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudhuria tuzo
za BET 2014 ambazo Mtanzania Diamond Platnumz alichaguliwa kushiriki
kama msanii kutoka Afrika na tuzo hiyo kuchukuliwa na Davido wa Nigeria
Showing posts with label burudani. Show all posts
Showing posts with label burudani. Show all posts
Monday, 30 June 2014
Saturday, 28 June 2014
WANAUME TU: TYPE HII YA WANAWAKE USIBONYEZE...NI SHIDAAA AISEEE...!

Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..
1.Demu wako wa zamani
Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi,
Sunday, 11 May 2014
KARIBU SANA UONGEZE SIKU KWA KUTAZAMA PICHA HIZI "CHEKA UNENEPE"
Vunja mbavu zako mwenyewe.. Cheka mpaa uzimie bofya Read more ili Kutizama picha zitakazo tengua Mbavu zako
Saturday, 10 May 2014
Nakua Chizi Kwa Wivu wa Mke Wangu...
Nina mke mmoja ambae tunapendana sana,tatizo ana WIVU kupindukia.
1.Ninapoingia tu home ananidaka na kuninusa nguo,akisikia pafyum kwa mbali MATATIZO,mim situmii pafyum ila usafir wa kwetu ni shida,mnabana had kupumua shida.Matokeo yake sipend watu waniguse kitu ambacho ni kigumu kwenye usafir wa jumuiya!
2.Kila ninapoenda anataka nitume picha kwa whatsap,hata kama kwenye daladala nimesimama,anataka nipenye dirishan nipige hilo eneo,au nijipige kitu ambacho watu hawakubali maana wanaona unawapiga wao!Hata wakat mwingine ananiambia chukua jiwe,weka sehem flan then piga picha.
Hii inanifanya ntaokota makopo il nipige picha ili aamini,JE NIFANYEJE MAANA TUNAPENDANA SANA.

Alichokisema Master Jay kuhusu uhusiano wake na Shaa pamoja na Mke wake wa Ndoa. Sikiliza hapa..
Ingawa kuna fununu ambazo si rasmi kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya
Master Jay na Shaa,hapa kuna stori tofauti ambayo Soudy Brown
anai-amplify kuhusu mke wa Master Jay kutoka na msanii wa Bongo
fleva,hapa utamsikia Master Jay na msanii anayesemekana kumchukua Mke wa
Master Jay.
Sikiliza Hapa:
BAADA YA KUFULIA SASA BABY MADAHA AAMUA KUOLEWA NA HUYU JAMAA.. BOFYA HAPA..
Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha na meneja wake, Joe Kariuki wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu nchini Kenya jijini Nairobi.
Akizungumza na mapaparazi wetu, Meneja wa Baby Madaha, Joe alithitisha mipango hiyo na akasema sasa wanafanya kazi nyingi za muziki mpaka zifike nyimbo 20 ambapo baada ya kuoana zitaanza kutoka mojamoja kwa muda wa miaka minne.
“Ni kweli tumepanga kuoana, kikubwa ninaandaa nyimbo nyingi ili baada ya ndoa nitasimama muziki na badala yake nitakuwa naachia nyimbo tu,” alisema Baby anayetamba na Wimbo wa Nawaponda.

Friday, 9 May 2014
"Turuhusiwe Kuigiza Nusu Utupu Ili Tuonyeshe Uwezo Na Tutengeneze Soko La Kimataifa" Lulu Michael
DIVA wa
filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka
zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize nusu
utupu ili kuendana na soko la kimataifa.
Akitetea
hoja yake mbele ya paparazi wetu, staa huyo aliyeitendea haki filamu ya
Foolish Age alitolea mfano Tamthiliya ya Shuga iliyomtoa Lupita Nyong’o
ambayo alicheza akiwa nusu utupu.
“Wanasema
hatufuati maadili wakati kuna muvi ambazo zipo theatre na watu
wanaangalia hazina maadili, wao wanataka tufanye vitu kwa kudanganya
wakati sasa hivi tuko dunia ambayo tuna takiwa tuweke vitu wazi,
wasibane sana,” alisema Lulu
NIFANYAJE MAKALIO YANGU YASITINGISHIKE NIKIWA NATEMBEA? NAOMBENI USHAURI JAMANI!!
Nina mwili wa kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini,
kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani
nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
DARASA KWANZA: NJIA MAHSUSI ZA KUMFANYA MWANAUME AWE NA MVUTO WA PEKEE KWA MWANAMKE.
Kuna msemo wa kiingereza usemao “Nothing comes from vacuum” wakimaanisha
kwamba hakuna kitu kichokuwa na chanzo chake au hakuna jambo
linalotokea tu pasipo kuwa na chimbuko lake.
Msemo huu tunaweza kuuleta hata katika mapenzi pale tunapomwona mwanaume fulani anapendwa sanaa na wanawake hapa nazungumzia kupenda sio kule kutamani eti labda sababu ya pesa au mali alizonazo.
Mwanaume mwenye uwezekano mkubwa sana wa kupendwa kwa dhati ni Yule mwenye mambo yafuatayo:-
*Mwanaume mwenye tabia nzuri inayokubalika katika jamii kama vile upendo,ukarimu,ustaarabu na mambo mengine mengi ambayo binadamu wa kawaida hujisikia faraja au furaha sana akifanyiwa,hivyo mwanamke hujisikia amani sana kuwa na mtu wa namna hii sio Yule mwanaume mwenye roho ngumu,hana huruma,upendo nk.
*Mwanaume mwenye kauli nzuri,hii ni sifa nyingine ambayo kwa kiasi kikubwa hupendwa sana na watu wote,hata kwa upande wa wanawake hupata amani sana kukutana na watu wa aina hii kuliko watu wenye kauli chafu,matusi,kashfa nk. Hivyo ukiwa na kauli nzuri ujue una asilimia kubwa ya kupendwa sana na wanawake wa kila aina.
*Mwanaume mwenye muonekano mzuri ki mavazi,hii ni sifa nyingine matata ambayo wanawake wengi sana hupenda wanaume wao wawenayo. Mwanamke mara zote hupendelea zaidi mtu smart ambaye anajitunza.
*Awe mwenye tabasam lenye kuvutia,asiye na dharau na mcheshi kiasi.

UWE MWANGALIFU USIJEUKAPITA KIASI!
*Zungumza LAKINI usitawale mazungumzo
*Uliza maswali LAKINI usimchimbe mtu
*Onyesha urafiki LAKINI usicheze-cheze kimapenzi
*Zungumza LAKINI usitawale mazungumzo
*Uliza maswali LAKINI usimchimbe mtu
*Onyesha urafiki LAKINI usicheze-cheze kimapenzi
My Neighbour's Wife Is Tempting Me
I moved into this neighbourhood just recently. It's a small gated
compound with just two flats. The other flat is occupied by a newly
wedded couple. I had taken one week off from the office to enable me
move my things and settle.
But there's something about this couple; they are so noisy when making
love - so loud you could think we are in the same room. That is not all,
the few days I have stayed at home have been full of temptation,
because I have noticed to my dismay that this lady wears very skimpy and
offensive stuff outside their flat and doesn't even carry herself as a
married woman.
Now my question is:
should I call the man and talk to him about the noise and all, or should I keep my peace and suffer in silence?
ITASHANGAZA WENGI, ILA HAYA NI MAMBO AMBAYO NI DIAMOND NA WEMA TU, NDIO WANAOWEZA KUFANYA HAPA BONGO.
Hivi ni vitu ambavyo inabidi tu tuwaachie Diamond na Wema waendelee
kufanya yao, wengine wabaki watazamaji tu, afterall siyo kila mtu yuko
kwenye movie yao ambayo bado inaendelea, hii ni moja ya celebrity couple
inayopendwa na watu wengi zaidi nchini Tzee na nje, ila kwa haya
wayafanyayo, hutakuja kuona couple wowote hapa tzee wakifanya haya
wanaofanya yao, labda huko nchi za wengine ila kwa hapa Bongo, ni Wema
Sepetu tu na Diamond Platnumz ndio wanayoweza.
Kudai kutengeneza movie ambayo haijatoka hadi leo”Temptation”

Kati ya vitu ambavyo si rahisi cople wengi kukuta wanafanya pamoja ni movie, ila kwa hili la wapendanao hawa ni noma zaidi, ndio moja ya celebrity couples ambao wamewahi kudai kucheza movie wakati walipokuwa wameachana, ili tu wawe karibu pamoja, ikiwa inasemekanailikwenda kufanyiwa shooting nchini China, na ikiwa nimwaka wapili huu sasa wamesharudiana, na movie hiyo haijakamilika bado,huku ikibakia msemo tu “Acha movie iendelee”.
Kuachana na kurudiana zaidi ya mara mbili.

Hawa ni moja ya celebririres waliowahi kutangaza kuachana mara kadhaa na mwisho wa siku kurudiana na hadi hii leo bado wapo pamoja,imetokea kusikia watu wegi maarufu hapa bongo wakiachana na kila mtu akishia kushika mahesabu yake, ila kwa Diamond na Wema, ni moja ya couple maarufu zilizowahi kuachana na kurudiana mara nyingi kuliko mtu yeyote maarufu hapa Bongo.
Wema kumvalisha Diamond wigi na kupost picha mitadaoni.

Kama ni vituko basi hapa huwa haviishi, saa zingine unaweza kusema ni mapenzi kuzidi, ila kwa Diamond kuvalishwa wigi, kupigwa picha na mpenzie(Wema) na kupost kwenye mitandao ya kijamii, Only Diamond na Wema ndio kweli wanaweza kufanya hivi, katika miaka hata ya baadae, sidhani kama watatokea couple maarufu wenye vituko kama hivi, ni nadra sana ukute mtu maarufu wakiume kuvaa wigi la kike, kupiga picha na kupost kwenye mitandao.
Kupiga picha wakiwa kitandani na kupost kwa mashabiki kuangalia.

Kama ni love ku-show love kwa mashabiki iko poa zaidi, kwa Diamond na Wema ndio inasemekana kuwa hata baada ya kudai hapo awali kuwa kwa sasa wanataka kuweka mambo yao yawe yao binafsi, ila ndio couple waliowazi zaidi ku-show mambo yao hadharani, si couple wote hapa bongo wenye uwezo wa kufanya hivi, zaidi ya kujipiga picha wakiwa kitandani na kupost kwenye media. Tumezoea kuona watu wengi hasa maarufu wakifanya mambo yao kwa siri zaidi, ila kwa couple hawa wako wazi sana wakifanya mambo yao.
credit : vibe

Tazama Jackline Wolper Akifunguka Kuhusu Kubadili Dini Na Jinsi Alivyoachana Na Biashara Ya Kusagana Na Wanawake Wenzake.
Ni muda mrefu kidogo baada mwigizaji Mtanzania Jaqueline Wolper kutosikika akiyatoa ya moyoni kuhusu yote yaliyompata kwenye miezi iliyopita na kumfanya amiliki sana headlines za magazeti, blogs, website pia facebook na twitter huku wengi wakiwa na hamu ya kusikia akiyaongelea.
Kwenye Exclusive interview na mtangazaji Sporah wa The Sporah show,
Jack amekanusha kwamba yeye ni msagaji japo mara kadhaa ameonekana akivaa
kiume.
"Sasa hivi nimepunguza sana kuvaa nguo za kiume, wengi walikua wanahisi lakini sijawahi kufanya vitendo vya usagaji na wala sijawahi kushawishiwa na mtu anaejihusisha na vitendo hivyo, boyfriend wangu hana tatizo na mavazi ya kiume ninayovaa… hatujawahi kupangiana mavazi" Alisema Wolper na kuongeza:

"Sijaolewa na wala sijawahi kuolewa, nilishawahi kubadili dini kweli… ni vitu vinatokea na usimuhukumu mtu bila kumuuliza"
Sporah: Ni kweli kwamba
ulikutana na mtu ana uwezo wa kifedha na kulikua kuna vitu unataka
akununulie akasema hawezi kukufanyia mpaka ubadilishe dini ili upate
hizo mali?
J Wolper: Sio hivyo, dini
nilikuja kubadilisha wakati nimeshapata mali, nilibadilisha mwishoni
kabisa baada ya huyu mwanaume kuja kwetu akitaka kunioa, alinipa mali na
vitu vya thamani kabla ya sisi kukutana, unajua unaweza ukawa unachat
na mtu mkapendana lakini hamjawahi kukutana… ni mzuri wa kukushawishi,
unajua sio rahisi mtu akiwa mbali aweze kukushawishi mkapendana wakati
yeye yuko mbali na wewe uko mbali, namsifia kwa uzuri wake… sio wa umbo
wala sura bali ana roho nzuri na alinitreat vizuri mpaka nikaona huyu ni
sahihi nikabadilisha dini
Sporah: Ulifikiria kwamba dini yako sio nzuri au?
J Wolper: Kwa utamaduni wetu sisi Afrika, Tanzania ninavyojua hata kwa mama yangu imetokea, Mwanamke lazima ufate dini ya Mwanaume wako
Sporah: Lakini alikua bado hajakuoa?
J Wolper: Nilikua tayari nimeshajiona kama mke wake, ni mtu ambae alinipenda sana…
J Wolper: Nilikua tayari nimeshajiona kama mke wake, ni mtu ambae alinipenda sana…
Sporah: Ulijichora na tatoo ya jina lake?
J Wolper: Kwa nini nichore jina la
mtu kwenye mwili wangu, kwanza yeye ni Muislamu hapendi tatoo…
nilibadili dini kwa mapenzi yangu mwenyewe kutokana na mtu niliekua nae
na hawajui alivyonishawishi mpaka mimi nikabadili, sio kwa
kulazimishwa….
Ninachojua mimi heshima ni kufuata dini ya Mwanaume ukishachumbiwa,
haikua kama girlfriend na boyfriend… alikua ananifanya kama mke wake
japo hatukua tumekutana
Sporah: Ulijisikiaje pale vitu havikwenda vizuri?
J Wolper: Mi naona ni sawa tu
kwa sababu Mungu pia anapanga ila sikuumia sana, ningeumia kama mimi
ndio ningekua nimetaka kuolewa ila yeye ndio alitaka ndoa, mimi bado
mdogo… watu wa mitandao kwao ni big deal ila kwangu sio kitu
Haukuwa
uamuzi mgumu, napenda sana kufata moyo wangu… siwezi kufata moyo wa
mtu, wengi waliniambia sijui ukibadili dini tena sijui mashabiki wako
sijui nini nini… NOOOO! sio kuhusu mashabiki, mimi ni mimi kama mimi
sikupenda kilichotokea na bado niko chini ya wazazi wangu, vp ikitokea
nimekufa nitazikwaje sijaolewa??! mi siwezi kumchezea Mungu ndio maana
ukiangalia instagram yangu mimi kila Jumapili lazima niende kanisani
J Wolper: Nilikaa miezi miwili
bila kwenda Msikitini wala Kanisani, nilikonda kwa sababu siwezi kukaa
bila kusali na wazazi wangu nakua nawakosea, kuna neno mama yangu mdogo
aliniambia baada ya kukaa na mama na kuongea nikasema ngoja nirudi
kanisani, siwezi kufaidisha watu na kuacha wazazi wangu wakasononeka…
nilibadili dini kwa heshima ya mchumba wangu lakini sasa hivi nimerudi
kwa heshima ya wazazi wangu
J Wolper: Bado Dallas ni rafiki
yangu mkubwa sana kwangu na ni mtu poa, haongei mapenzi maskini… ni
rafiki yangu ni kaka yangu, hatuwezi tena kuwa wapenzi… nampenda bado.
Interview nyingine ya Jackline iliyobaki unaweza kuitazama hapa chini…
Hii Kali:Kuchapiwa Mke ni Faida Kwa Wanaume
Kwa wanaume,
Ukisikia mkeo analambwa nje furahia, na msisitizie awaambie jamaa zake watumie kondomu ili unufaike kwa haya yafuatayo.
1. Unapunguziwa matumizi(Lazima anapewa pesa)
2. Unaletewa staili mpya za mapenzi
3. Mapenzi yanazidi ili husijeshtukia dili.
4. Ukifulia una uhakika wa kukuta msosi mzuri nyumbani.
Maimartha Atuhumiwa Kuwauzia Mastaa Dawa za Kukuza Makalio!!!
MTANGAZAJI aliyepata kuwika katika vituo mbalimbali vya runinga Bongo,
Maimartha Jesse, amedaiwa kuwauzia mastaa wa mjini dawa za kuongeza
makalio.Habari za moto kutoka kwa sosi wa kuaminika, zinasema kuwa
Maimartha ambaye pia huitwa Mai amefikia hatua hiyo baada ya yeye
kutumia na kufanikiwa.
“Hamshangai siku hizi kila staa anaonekana kuwa na makalio makubwa? Ni
kazi ya Mai hiyo. Anafanya hiyo biashara muda mrefu sana. Ni za kunywa
na kupaka.
“Mbona hata yeye ametumia dawa hizo muda mrefu sana? Ukimwangalia
utagundua zamani hakuwa na hipsi za kiivyo. Ni kwa sababu ya dawa,”
alisema sosi huyo.
Akaongeza: “Hata Lulu Semagongo (Aunt Lulu) ndiye aliyemsababishia
kuwa na makalio makubwa kwani wakati wako karibu alikuwa akimpa dawa
hizo.”
Waandishi wetu walifika dukani kwa Mai bila kujua kama ni waandishi na
kuulizia bidhaa hizo ambapo zilitolewa, wakapiga picha bila kugundulika.
Mai akiwa hajui kuwa yupo mikononi mwa mapaparazi waliokuwa na njaa ya
habari, aliwaambia: “Ni dawa nzuri, mara moja zinarekebisha umbo na
unakuwa wa kuvutia. Kuna za shilingi 250,000 na 260,000 inategemea kama
ni vidonge au losheni.”
Mapaparazi wetu walipompigia simu Mai baada ya kutoka dukani hapo na
kumweleza kuhusu uuzaji wa dawa hizo dukani kwake, alisema duka lake
linauza urembo wa aina zote kwa mastaa na wasio mastaa.
“Kama nimetumia dawa za kuongeza makalio, nyie inawahusu nini? Kifupi
duka langu linadili na urembo wa aina zote,” alisema Mai akishindwa
kufafanua zaidi.
Lulu alipovutiwa waya na kuulizwa kama makalio yake ni matokeo mazuri ya
dawa za Mai alisema: “Sijawahi kutumia dawa za Mai kwa ajili ya
kuongeza makalio.
Yangu ya asili lakini watu wakinipigia simu na kuniuliza dawa za kuongeza makalio huwa nawaelekeza kwa Mai.”
Stori: : Hamida Hassan na Gladness Mallya, GPL
Ufuska Bongo Movies Wamkosesha Deal Mwigizaji Nora
MWANADADA wa ‘long time’ kwenye sanaa ya uigizaji amejikuta katika
wakati mgumu baada ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na tabia za
kifuska kwa baadhi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie.
Akipiga stori na paparazi wetu, Nora alisema amekuwa akitembelea katika ofi si mbalimbali
na kila anapojitambulisha kwamba ni msanii wa fi lamu watu wanashtuka na
sehemu nyingine anakosa dili za maana kutokana na uchafu wa baadhi ya
wasanii hasa wasagaji na wanaojiuza.
“Yaani naona aibu sana kujitambulisha kwenye ofi si za watu kwani kila
ninakoenda na kujitambulisha watu wanaanza kunong’ona huku wakidai
kwamba wasanii wa kike wa fi lamu wana tabia chafu wakati
tunachafuliwana watu wachache tu wasiojiheshimu,” alisema Nora.
Stori:GLADNESS MALLYA, GPL
Thursday, 8 May 2014
HATIMAYE BEYONCE KUANZA KUSOMWA KAMA SOMO KATIKA KOZI ZA CHUO.
Queen Bee ameungana na watu wengine mashuhuri kama Oprah na mume wake Jay Z, (ambaye ana kozi sociology iliyopewa jina badala yake kwenye Chuo cha Georgetown), ambayo yanafundishwa kwenye vyuo. Kozi hiyo inaitwa Politicizing Beyonce na itakuwa inafundishwa na Chuo cha Rutgers cha New Jersey.
Kitengo cha Masomo ya Jinsia ya Wanawake kitakuwa kikifundisha juu ya jamii na utamaduni ya muimbaji huyo kimuziki na mfano wake.
DC Blog
MAKAHABA WA KENYA WANAVYOHUSUDU KAZI YAO NA KUTAMANI IRUHUSIWE KISHERIA (VIDEOS)
Hii ni makala inayoonyesha jinsi biashara ya ngono
(uchangudoa)
unavyofanyika haswa nyakati za usiku.Makala hii inakutanisha
wafanyabiashara hiyo almaharufu kama "MACHANGUDOA" wakieleza jinsi
wanavyofanya biashara hiyo
na changamoto wanazozipata.
Usisite kuangalia ili uweze kujifunza.ANGALIA VIDEO HAPA
SIMULIZI YA AUNT EZEKIEL: ILIKUWA AOLEWE AKIWA MDOGO, AKATOROKA NYUMBANI KWAO!

Aunt Ezekiel.
BAADA ya wiki iliyopita kumaliza mahojiano na Miss
Tanzania 2006 aliye pia mwigizaji wa sinema za Bongo, Wema Isaac Sepetu,
wiki hii tunaye supastaa mwingine.unaweza soma : YAJUE HAYA MAMBO NANE (8) YA KUFANYA BAADA YA TENDO LA NDOA.
Anaitwa
Aunt Ezekiel Grayson, si jina geni kwa wadau mbalimbali wa burudani
nchini. Ni mrembo ambaye amepata jina kubwa kupitia sanaa yake ya
uigizaji wa filamu aliyoianza miaka saba iliyopita.Msanii huyo ambaye ni mtoto wa damu wa aliyekuwa mchezaji mahiri wa Simba Sports Club ‘Wekundu wa Msimbazi’ marehemu Ezekiel Grayson.
Aunt Ezekiel amepitia maisha magumu sana kabla ya kufika alipo leo. Ili kujua maisha yake halisi ungana na mimi, Imelda Mtema.
Mwandishi: Mambo Aunt? Natumaini uko mzima. Mimi ningependa kujua zaidi historia ya maisha yako kuanzia ulikotokea hadi ulipo sasa.
Aunt: Duu! Sawasawa! Mimi nimezaliwa mwaka 1988 hapahapa jijini Dar es Salaam. Ni mtoto wa pili kwa mama yangu mzazi kwa sababu kwa baba nina ndugu zangu wengine.
Mwandishi: Kwa hiyo una maanisha kabla ya baba yako kuwa na mama yako alikuwa na mwanamke mwingine?
Aunt: Ndiyo.
Mwandishi: Wakati huo ulikuwa ukiishi hapa Dar es Salaam sehemu gani?
Aunt: Nilikuwa nikiishi Ilala na nilipata elimu yangu ya msingi katika Shule ya Msingi Bunge mwaka 1995 mpaka 1998, nikaenda kumalizia Kisarawe, Pwani.
Mwandishi: Kwa nini ulikwenda kumalizia huko? Ilikuwa bording (shule ya bweni)?
Aunt: Hapana, baba yangu alipata matatizo akapelekwa jela hivyo kukawa hakuna mtu wa kunilipia ada pale Shule ya Bunge, hivyo wakanipeleka kule kwa babu na bibi yangu.
Mwandishi: Mama yako alikuwa wapi kipindi hicho?
Aunt: Mama yangu alifariki dunia mwaka 1995, hivyo nilibaki na baba na ndugu zangu wengine.
Mwandishi: Sasa hukuona kama kuna tofauti wakati ulikuwa umeshazoea maisha ya mjini?
Aunt: Tofauti ilikuwepo kubwa sana lakini ilibidi nizoee niweze kusoma tu maana sikuwa na jinsi.
Mwandishi: Ilikuwaje baada ya kumaliza shule, uliendelea kuishi Kisarawe?
Aunt: Yaani maisha yalizidi kuwa magumu sana, niliendelea kukaa huko lakini baadaye ilibidi nitoroke.
Mwandishi: Kwa nini ulitoroka, ulikuwa ukiteswa?
Aunt: Hapana, nilipomaliza tu shule kuna mwanaume alikuja kwa babu akasema anataka kunioa.
“Sikuwa tayari kabisa lakini kwa vile alikuwa na pesa ndugu zangu waliona bora niolewe naye kwa kuwa hawakuwa na uwezo wa kunisomesha tena.
“Ilibidi nitoroke, nikaja Gongo la Mboto (Dar es Salaam). Kuna sehemu inaitwa Mazizini.
“Nilisema nije nitafute kazi yoyote ile, popote pale ili niweze kujinusuru na kuolewa nikiwa katika umri mdogo.
Aunt Ezekiel ametoroka nyumbani Kisarawe na kukimbilia Dar kutafuta kazi.
Je, ilikuwaje? Usikose wiki ijayo.
MAKUBWA HAYA.. LULU AOMBA BASATA WARUHUSU KUFANYA MOVIE NUSU UTUPU WAENDANE NA SOKO LA KIMATAIFA
DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka
zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize nusu
utupu ili kuendana na soko la kimataifa.
Subscribe to:
Posts (Atom)