Tuesday 1 July 2014

VICHEKESHO VYA KISWAHILI SOMA HAPA UVUNJE MBAVU ZAKO

Jamaa kaingia msikitini na panga na kuuliza nani mwislam hapa? Watu wakapiga kimya, akauliza tena,
 nani mwislamu hapa?? halafu akamchukua mtu mmoja na kwenda nae nje na kumwomba amchinjie mbuzi.
 Halafu akarudi msikitini na panga yenye damu na kuuliza tena, "nani mwislamu hapa?"
 waumini wakamnyooshea imam kidole kwamba ndo mwislamu, Imam
 akasema, "jamani mi kuswalisha siku mbili tu ndo mniite mwislamu?" mi hapa najifunza tu" halafu

Monday 30 June 2014

NEW SONG / MR . BLUE , AMINI , BARNABA BOY & DAYNA _ DEREVA MAKINI / LISTEN & DOWNLOAD HAPAAA

 
Mr Blue Atoa Nyimbo iliyo shika bongo wengi na kugusa hisia zao hebu isikilize hapa

DIAMOND KWENYE TUZO ZA BET 2014 AKIHOJIWA NA GIRLFRIEND WA CHRIS BROWN..

Screen Shot 2014-06-30 at 4.32.15 AM 
Karrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown
alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudhuria tuzo
za BET 2014 ambazo Mtanzania Diamond Platnumz alichaguliwa kushiriki
kama msanii kutoka Afrika na tuzo hiyo kuchukuliwa na Davido wa Nigeria

Saturday 28 June 2014

WANAUME TU: TYPE HII YA WANAWAKE USIBONYEZE...NI SHIDAAA AISEEE...!


Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..
1.Demu wako wa zamani

Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi,

Sunday 11 May 2014

WATU 55 WANUSURIKA KIFO SONGEA BAADA YA ABIRIA KUENDESHA BASI NA KUSABABISHA KUPINDUKA


WATU wasiozidi 50 wamenusurika kifo baada ya basi dogo kupinduka katika eneo la Sinai nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma kutokana na uzembe wa abiria.

SIWEZI MUACHA NIKIMUACHA NITAKUFA,, SOMA HAPA

https://homekwetu.files.wordpress.com/2014/08/wpid-uwoya.jpg?w=593 
Siwezi kumwacha, nikimwacha ntakufa” ni maneno makali kutoka kwa binti mdogo wa 1992 ambae amekiri kua yuko kwenye mahusiano sasa na binti mwenzake....

WEMA ASHAURIWA AACHE UMAARUFU WA KUBEBWA NA SCANDAL.

MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity,
Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ameibuka na
kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka
umaarufu bila kazi.
Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za
kila kukicha kwani hazina maana kama kazi ya
sanaa aliyoichagua kama njia ya kumuingizia
kipato...

KARIBU SANA UONGEZE SIKU KWA KUTAZAMA PICHA HIZI "CHEKA UNENEPE"


Vunja mbavu zako mwenyewe.. Cheka mpaa uzimie bofya Read more ili Kutizama picha zitakazo tengua Mbavu zako

Dida Aeleza Sababu Za Kwanini Kaachana Na Mume Wake Q-Chilla...!!

Mwanadada Hadija Seif (Dida’s Fashion) aliyekuwa mke wa ndoa wa msanii wa muziki Q Chillah amefunguka kisa kilicho afanya waachane pamoja na jitihada alizozifanya kumnusuru msanii huyo na wimbi la matumizi ya madawa ya kulevya..

Saturday 10 May 2014

JE WAJUA KUNADAWA INATOKA HIVI PUNDE YAKUZUIA UZEE?? SOMA HAPA KUJUA UVUMBUZI WA WANASAYANSI


Panya mzee akiwa mwenye nguvu baada ya kuwekewa damu changa 
Watu wengi wangetamani kuona hawazeeki, wanabakia na nguvu za ujana na kwa sababu hiyo wanasayansi wanatafiti kupata ufumbuzi.

Vyuo vikuu vitatu maarufu duniani vimekuja na matokeo ya utafiti ambao unaweza kukata kiu ya wengi ambao hawatamani kamwe kuzeeka...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...