Friday, 3 May 2013

DIAMOND ASHAMBULIWA NA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUKOSEA KUANDIKA LUGHA YA KIINGEREZA, SOMA HAPA

Wabongo kwa kukosoa hawajambo.. Katika pitapita yangu instagram kuna picha mkali Diamond Platnumz alipost (hiyo hapo juu), na hapo wakatokea watu kukosoa kingereza alichotumia huku wengine wakionekana kutetea. JAMANI ENGLISH si Lugha yetu jamani. angalia hapa chini watu walivyokua wakicomment

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...