@JokateM ameshiriki kwenye kazi tofauti za movie kama Fake Pastor ikiwa ni ya mwanzo kabisa kwake akiwa na Lisa Jensen,Johari na wengine.
Hivi sasa utamuona kwenye season mpya ya tamthilia pendwa ya Siri ya Mtungi ambayo inashirikisha wasanii kama Monalisa na wengine.
Hizi ni baadhi ya picha za uandaaji wa season mpya na Jokate akiwa kwenye sehemu ya uandaaji wa Siri ya Mtungi mpya.
No comments:
Post a Comment