Mimi
ni msichana mwenye umri wa miaka 28 Naishi Tabata jijini Dar Es Salaam
nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae
amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu
walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana.
Sasa
huyu mpenzi wangu amenigharamia sana yani kuanzia nguo zote hadi
chakula nacho kula vyote ni msaada wake yeye na amejitolea kuninunulia
gari la kutembelea na kanambia nitafute kiwanja ili tujenge nyumba ya kupangisha.
Ila mimi kwa sasa naona kama huyu mwanaume hatuendani kwani yeye hana elimu ila anafanya kazi kutumia akili ya kuzaliwa, Jamani mimi nataka kuishi na msomi mwenzangu ila huyu kaka mimi naona kama freemasson kwani kanisaidia sana asije akanitoa kafala, Mimi kwa sasa nimepata mpenzi mpya ambae anaelimu ya chuo pia ni sharo sio mshamba kama huyu wa zamani.

please naombeni ushauri wenu jamani nimwambiaje kama sipo tayari kuishi
na yeye huyu mpenzi wa zamani bila kuumiza moyo wake...?
No comments:
Post a Comment