Friday, 9 August 2013

PICHA ZA WASICHANA WAWILI WALIOMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR

Wasichana wawili kutoka uingereza Katie Gee and Kirstie Trup, wenye umri wa miaka 18 wamejeruhiwa vibaya na acid baada ya watu wawili wasio fahamika kuwamwagia usoni halafu kukimbia na pikipiki.
Website ya telegraph iliandika kwamba wasichana hawa walimwagiwa acid siku chache baada ya kuingia kwenye ugomvi na muuza duka ambaye ni mkazi kutoka Zanzibar.
The teenagers are due to fly back to the UK overnight and are expected to be taken to hospital for further treatment when they arrive home.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...