Tuesday 18 June 2013

WADADA WANAO JIUZA SINZA WAKAMATWA! TIZAMA PICHA HAPA




Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata akinadada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama Machangudoa katika eneo la Sinza. 

Picha hizi ( juu)  zinaonesha  namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...