| Mama yake Msanii Diamond akiwasili maeneo ya kigogo msiba ulipokuwepo akiwa na dada yake Diamond Esmah Khan.... |
| Umati wa watu ukiwa umekusanyika nyumbani kwakina Barnaba Boy Classic kutoa heshima za mwisho..! |
| Familia wakitoa heshima za mwisho.....!! |
| Ni huzuni na sintoamini utawala kipindi hiki inapofika kuagana mara ya mwisho na mpendwa wako... |

No comments:
Post a Comment