Monday 24 June 2013

HIZI HAPA BAADHI YA PICHA ZA DIAMOND AKIWA NA WASAFI NCHINI COMORO WAKILA BATA:

Siku ya leo nashukuru mungu nimeamka salama mimi na crew yangu
nzima baada ya kuchafua
hali ya hewa ya comoro jana usiku......Baada ya kukonga nyonyo
za Maelfu ya mashabiki walio
jitokeza kwenye show ya jana..... Much love for  Comoro people..
Leo nilihamka nikiwa mwenye
 furaha na nikaona isiwe tabu nikipumzika
na kuriwadha akili yangu kwenye ukanda wa bahari kwenye visiwa
hivi vya comoro,nikiwa
na crew yangu nzima ya wasafiii...
Zifuatazo ni picha tofauti nikaona isiwe kesi wala deni nikishare na nyinyi mashabiki zangu kote dunia kupitia website
Hii ya kijanja Thisisdiamond.com kuwajuza yanayojiri huku....!!

Asubuhi mapema kabisa majira ya saa nne vijana wangu hawa watatu nazungumzia
EmmaPlatnum,Rama Tonser & Dumi utamu walikuwa tayari kwenye
bwawa la kuogelea,wanapenda sana maji lakini kuna
yule mwingine bhana,maji kwake kama moto...hahahaha kuogelea nacho
kipaji lakini....!!
Kabla ya chochote baada ya kupata breakfast matata hapa
hotelini...Unajua tena mazohea yanatabu
Coca-Cola on my right hand side......naburudika sana
 nikiwa na hii kitu muda wowote....!!
Unajua my boys wanasemaje....??
''Eti na wewe unataka hii''
Kabla ya kuogelea lazima ujipake mafuta maalumu ya kuzuia
 kuunguzwa najua,nikipata jua
la asubuhi saa 4 kabla ya kuzama majini kuwaonesha ufundi
 wangu,sio kuimba tu hadi huku
Naweza.....
Hii ilikuwa mida ya mchana watu wangu.....jua la huku
sio kali sana jua linaloambatana
na upepo mwanana.....hatari sana ukikaa wikii unaweza
sahau nyumbani.....hahaahaha
kuna msemo unasema''Mkata kwao mtumwa''
As always picha huwa zinahusikaga sana kwenye
mfumo wa maisha yangu hii
yote ni kukujuza wewe mtu wangu kujua kile
kinachoendelea kwenye ulimwengu wangu...
LOL..
Black on Black ndo habari iliyokuwa ina kick mchana huo
nikifarijika na mandhari ya sehemu hii....kusema ukweli
nimepapenda sana comoro nahahidi kutembelea soon
hata kwa mapumziko nikiwa na yule.....mshamjua bhana
#Kipenzi cha roho yangu....#Mke wangu mtarajiwa...
#Mama wa watoto wangu.....
With Emma Platnuma Silaha ya kichwa.....tukibaridhi ufukweni.....!!
Hollah for ya my true fan...much love and respect....!!


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...