WAASI WA M23 WATOA VITISHO VIKALI KWA TANZANIA KWA MARA YA PILI. HALI SASA SI SHWARI. SOMA WALICHOKISEMA HAPA
Kuptia Tovuti ya kijamii ya Twitter
Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa
Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni leo kuhusu
Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kukabiliana na waasi hao.
Ni hii ndio tweet yao
M23 Congo RDC @m23congordc 16h @
Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti
Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto
MAJIBIZANO YAO NA WAZIRI MEMBE
No comments:
Post a Comment