Mwili wa marehemu, mama wa mwigizaji Kulwa Kikumba (Dude) umeagwa leo nyumbani kwake maeneo ya kigogo jijini Dar es Salaam na kusindikizwa majira ya saa kumi jioni katika makaburi ya buguruni,ambapo maelfu ya watanzania wameshiriki vyema katika mazishi haya.
Msiba huu umehudhuliwa na wasanii wengi maarufu hasa wale wa tasnia ya maigizo ya bongo movies ambao wamekuwa bega kwa bega na Msanii mwenzao Kulwa Kikumba almaarufu kama Dude.
(Picha jinsi ilivyokuwa msibani leo)
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,Amen.


No comments:
Post a Comment