Wednesday, 29 May 2013

BREAKING NEWS: BAADA YA KIFO CHA NGWEA, NGWEA AMUITA M TO THE P AMBAE ALIKUWANAYE

Taarifa kutoka vyanzo mbali mbali zinasema kuwa M TO THE P ambae walikuwa pamoja na Ngwair South Africa na walipelekwa wote hospitali ya ST. Hellen huku yeye akiwa bado ana hema, leo asubuhi taarifa zinasema nae amefariki.


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...