kudadadadeki mmmmh |
simple Zari |
nadhani unalijuwa aina ya gari hapa bongo analo naniiiiii?? |
ooooh lovely |
haaaaa watu hawazungumzi wanatenda bana kudadadeki hotel ya zari inakuja +256 |
watu wenye mikwanja yao huwa hawaongei sanaaaa ni vitendo tuuu |
huyu ndiye Diva wa EA wengine tubaki tukiongea tu yeye anaonyesha matendo |
the bosslady |
amechoka kuhama hama ktk nyumba zake hii anakodisha na full furnished apartment |
haaaaaaa nyumba ya kijijini kwao |
No comments:
Post a Comment