Ni mara chache kusikia video flani ya bongofleva haichezwi kwenye vituo vya TV kwa sababu ya wamiliki wa vituo hivyo kuona haina maadili hivyo haiwezi kuruhusiwa kuonyeshwa kwa mamilioni ya Watanzania.
Video ya Jux toka mwaka 2013 mwishonimwishoni stori zilikua zinazunguka kwamba hii video imefungiwa kwenye vituo vya TV za bongo sababu picha zinazoonekana ndani yake zimezidisha kuvuka mipaka ya kimaadili.
Kwa sababu taarifa hizi ‘inadaiwa’ hazikutokea BASATA, wengi walisubiria Jux mwenyewe akirudi Tanzania atasema nini kuhusu hii ishu manake labda ni vituo vya TV vyenyewe ndio vimeamua kuisimamisha bila agilo la BASATA hivyo kama ni TV zenyewe basi vingekua vimemwambia.
Jux : ‘hapana ila kuna watu waliniambia wameshawahi kuiona EATV, pia mimi sio mtazamaji wa TV sana’
Hizi picha zote ni za sehemu ya kinachoonekana kwenye video yenyewe ambayo unaweza kuitazama hapo chini, iko kwenye Youtube na imetazamwa mara
No comments:
Post a Comment