Sunday, 5 January 2014

HAWA NDIO VIONGOZI WAPYA WA BONGO MOVIE

Kundi la Bongo movie unity limepata  uongozi mpya wa club hapa nchini hapo jana baada ya kufanyika kwa uchaguzi wake kwenye viwanja vya leaders kinondoni jijini Dar es Salaam.

Katika uchaguzi huo viongozi wapya walichaguliwa ni;

Mwenyekiti.  Steven Nyerere.

Makamu mwenyekiti : Mahsein awadhi "Dr cheni"

Katibu mkuu:  William Mtitu

Katibu mkuu msaidizi : Devotha mbaga 

Mtunza hazina: Issa musa “cloud"

 Msaidizi wake ni:  Cathy rupia

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...