Sunday, 16 June 2013

BAADA YA SHOW YA MWANA FA KUKOSA WATU WENGI SUGU AMPOROMOSHEA TUSI KALI...SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA..!!

Baada ya show ya mwana FA kusambaa kwenye mitandao juu ya kupwaya kwa washabiki kuhudhuria na show ya mwanadada komando lady jay dee kufurika ....Msanii wa Hiphop Joseph Mbilinyi a..k.a  MR II a.k.a SUGU..Amshambulia mwana FA kwenye mtandao wa face book .HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA
"..The finest???!!..The finest My Ass..."
angalia apo chini Post yake Katika mtandao wa facebook


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...