Absalom Kibanda: Magufuli anasifiwa Tanzania wakati hana lolote
Akiwa katika kipindi cha TV cha Asubuhi Leo ya Channel Ten, Mwenyekiti
wa Jukwaa la Wahariri Bw. Absalom Kibanda amesema Magufuli anasifika
sana Tanzania kwa kujenga barabara kwa sababu watu hawajatoka nje ya
nchi na kuona wenzetu wanavyojenga barabara. Akasema utamsifiaje
Magufuli wakati foleni imejaa na inatisha? Akasema ni watu kuwa na fikra
finyu na kutokujua kinachoendelea duniani.
Hii inanikumbusha maneno ya rafiki yangu mmoja anayefanya kazi Ivory
Coast ambaye pia aliwahi kuniuliza hivi Tanzania wanamsifia kwa kujenga
barabara zipi? Watu hawajaona wenzetu wanavyojenga barabara. Siyo
unatumia trilioni kuikarabati Mandela road kwa lanes mbili zilezile na
foleni ikabaki pale pale! Kinachomsaidia Magufuli ni ubabe tu but he is
empty!.
Credit:Uspecial.
No comments:
Post a Comment