Wednesday, 7 August 2013

NEWS:P DIDDY YABAINIKA AWA CHONGO ,JICHO MOJA KUSHNEI: SOMA HAPA KUPATA MCHONGO KAMILI

 
Hivi katika tumeweza sikia mnyamwezi huyu toka Pande za Marekani ndio anaeongoza
kwa mkwanja mrefu kwa wana hip hop kwa mujibu wa FORBES....
Lakini siku ya jana paparazi waliweza kumfumania mwanamuziki huyo akitoka Hospitali
akiwa na kibandika jicho kwenye jicho la kulia kwake na inasemekana amekuwa nacho
kwa muda upitao siku 8 hadi sasa kutokana na kusumbuliwa na tatizo la macho....
Picha hii anaonekana P.diddy akitoka hospitali akiwa na Daktari wake pembeni
akiwa na mlinzi wake akielekea kwenye parking......
Pole sana Mnyamwezi....GET WELL SOON...!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...