Friday, 9 August 2013

MANGE KIMAMBI "NAKUJA BONGO SEPT MNITAFUTIE KABISA OVERALL AMBALO LIPO TINDIKALI PROOF, FACE PROOF NAKUJA NAYO"

KITU BONGOLICIOUS IN BONGO AND ARUSHA SIO NOVEMBER TENA ILA KITU SEPTEMBER....FIRST WEEK OF SEPTEMBER....MISHAHARA MUIWEKE HIYO JAMANIIIIIII.......

IN BONGO TUTAFANYIA KWENYE DUKA MOJA MAARUFU (INABIDI TUUPGRADE KIDOGO MAANA PALE KWENYE CORRIDOR PADOGO SANA WENYE TABIA ZA UCHORI CHORI CHUPKE CHUPKE WANANILIZA SANA ESPECIALLY VIMKANDA VYANGU, LAST TIME NILIWASHIKA KAMA WANNE HIVI READY HANDED NA VIBELT VYANG KWENYE HANDBAND WANASEPA NAVYO U ILA NDO HIVYO SIWEZI KUUMBUA MTEJA WANGU HATA IWEJE) NA ARUSHA TUTAFANYIA PALE PALE  TULIPOFANYIA LAST TIME.......(NACONFIRM VIZURI NA MWENYE DUKA KUHUSU ARUSHA)



UWIIIIIIIIIII, NINA RAHAJEEEE SASA....... I CAN'T WAIT OOOOOOOOHHHH.........



ILA MNITAFUTIE KABISA OVERALL AMBALO LIPO TINDIKALI PROOF CHA KUPROTECT USO NAKUJA NACHO MWENYEWE......SI MNAJUA JINSI NILIVYONUNISHA WATU?????

KWA HIYO MKIKUTANA NA MIMI KWENYE MABAR SIJUI CLUB NIMEVAA MINGUO YA AJABU MSIJE DHANI NIMECHANGANYIKIWA NAOGOPA TU KUMWAGIWA TINDIKALI.....

NATAFUTA NA FFU MMOJA ANIAZIME BULLET PROOF VEST YAKE JUST IN CASE.....LOLEST....



UWIIII WATU WANGU MKO TAYARI KUFUNGA MTAAAAA ONCE AGAIN???????????

I CANT WAIT MEEEEIN......

SEE YOU IN SEPTEMBER BABYYYYYYYYYY.......

KINA DADA MLIOJAZIA JAZIA KAZI KWENU THIS TIME.....NIMEWAJAZIA VITU KIBAO.....  NITAFANYA PHOTOSHOOT YA NGUO ZOTE NA NITAWARUSHIA HUMU KABLA SIJAJA....

WADADA WA ARUSHA NO KUNUNA THIS TIME, MAANA LAST TIME KIDOGO MNISUSIE NGUO ZANGU KISA ETI NIMEWALETEA MAKOMBO YA DAR....UWIII THIS TIME NATOFAUTISHA MIZIGO MAPEMAAAAAA

WA ARUSHA HAUFUNGULIWI MPAKA NIFIKE UNGA LIMITEDI CHIEF.....LOL....

NITAKUWA DAR FOR  3 DAYS ONLY AND ARUSHA FOR 3 DAYS ONLY........NITAWAPENI TAREHE MAPEMAAAAA ILI KAMA IKIBIDI UAGE KAZINI UNAUMWA UTI WA MGONGO UAGE MAPEMAAAA,WENYE KUAGA MAKAZINI MMEFIWA MUANZE KUPANGA KABISAAA MTAMUUA NANI.....



BEI ZANGU ZIMESHUKA ZAIDI MAANA SASA HIVI NATEMBEA KWA MGUU KWENDA MADUKANI.... LOLEST....SINA EXPENSES ZA MANDEGE, MAHOTEL ETC.......

LAST TIME NILIVYOKUWA BOTH ARUSHA & DAR KUNA WATU WALIKUWA WANAKUJA HAWANA AMANI WANANINONG'ONEZA KUWA HAWANA PESA YA KUNUNUA KITU ILA WANATAKA TU KUNIONA...AISEEE MSIKOSE AMANI KABISAAAAAAA KAMA UNATAKA KUNIONATU ,KUPIGA STORY NA MIMI AU KUPIGA PICHA NJOO TU ,ILA NJOO MIDA YA JIONI WAKATI SINA WATEJA MAANA UKIJA MIDA YA WATEJA MPARE HAPA ITAKUWA NGUMU KUACHA KUMPAPATIKIA MTEJA ANAE NUNUA NGUO ILI NIPIGE STORY NA WEWE ALAFU UTANIONA NARINGA KUMBE WALA NI MAMBO YA KUTAFUTA PESA TU....  NJOO ZAKO MIDA YA JIONI AMBAYO MARA NYINGI NDO SINA WATEJA TUTAPIGA STORY , NA UMBEA WOTE WA KWENYE BLOG MPAKA UTANICHOKA MWENYEWE......SO PLEASE SIO LAZMA UWE NA PESA KUJA KUNIONA.........NJOO TU HUG TU...UKINILETEA NA UMBEA WA MUJINI NTAFURAHI ZAIDI...HAHAHHAHAHAHAHAHHAHAH

KWA WALE WATEJA WANAOOGOPA PICHA NA BLOG AISEE MSIKOSE AMANI NJOONI TU MIE NI MPARE NATAKA PESA PICHA HAZINIPI PESA SO KAMA HUTAKI KUTOKEA KWENYE BLOG YANGU AU HUTAKI HATA NIKUPIGE PICHA USIJALI KABISAAAA I WILL RESPECT YOUR PRIVACY...SITAKI KUPOTEZA MTEJA SABABU YA BLOG.....TUMEUMBWA TOFAUTI WENGINE TUNAPENDA MASHAUZI HATA KAMA TUNAUZA SEMBE STILL TUNATAKA MASHAUZI, WENGINE HAWAPENDI MASHAUZI HATA KAMA WANAMABISHARA YA HALALI STILL HAWAPENDI MASHAUZI...NTAKUHESHIMU MTEJA WANGU......MSIOGOPEEEEEE....KUTAKUWA HAKUNA DRAMA AT ALL... NI MAMBO YA KUNUNUA NGUO ZA MAREKANI KWA BEI YA CHINI....BASIIIIIIIII TUMEMALIZAAAA....MAMBO MENGI MPAKA UTAKE MWENYEWE....LOL...



OKAY BYE.....


Source:Mange Kimambi blog

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...