Saturday 20 July 2013

MFANYA BIASHARA MKUBWA AMBAYE NI MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTRE AMWAGIWA TINDIKALI


Taarifa za awali zinadai kwamba
Mfanyabiashara Said Mohamed Saad ambaye ni Mmiliki wa Home Shopping Centre (Dar), amwagiwa tindikali  saa mbili  ya usiku  Jana
maeneo ya Msasani City Mall ....

Taarifa  hizo  zinadai  kwamba  mtuhumiwa  aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini bahati mbaya akateleza na kuanguka na jamaa akawahi pikipiki na kutoweka eneo la tukio

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...