50 Cents hajawahi kumaliza high school, lakini alishawahi kuaminiwa kuwa
"mkuu wa maendeleo ya biashara na mauzo" kupitia facebook 2005.
Wakati nafasi ya mwanzilishi mwenza wa Facebook, Saverin Eduardo (mkuu
wa maendeleo ya biashara na mauzo) kuchukuliwa na
Kevin Colleran, Zuckerberg alimchanganya kijana huyo na mega superstar 50 Cent kutokana na picha ya profile yake inayomuonyesha akiwa na 5o Cent.
Kevin Colleran, Zuckerberg alimchanganya kijana huyo na mega superstar 50 Cent kutokana na picha ya profile yake inayomuonyesha akiwa na 5o Cent.
Hivi ndivyo jinsi ilivyokuwa siku ya kwanza walipokutana Zuckerberg na Colleran uso kwa uso..
Zuckerberg alipanga kukutana na Colleran mbele ya Virgin Megastore
iliyopo New York Union Square, Colleran alifika akiwa amechelewa na
hivyo kuelekea moja kwa moja alipo Zuckerberg huku akipokea simu kutoka
kwa huyo huyo Zukerberg akimuuliza "Uko wapi", Colleran akamjibu nimpo
mbele yako. Zuck alimuangalia kwa mshangao sana, alidhani muuza
matangazo ya facebook ni yule jamaa aliekuwa akionekana mweusi na tafu
sana kwenye profile picture (50 Cents)
Rais wa Facebook na mwanzilishi wa Napster, Sean Parker alimwambia
Colleran kuwa mkutano na Zuckerberg ulikuwa wired sana sababu "sisi
tulidhani ungekuwa African-American."
Wakati wa mkutano wao, 50 Cent alikuwa tayari kashauzwa rekodi zaidi ya
milioni 8 na album yake ya kwanza Get Rich Or Die Trying, na moja ya
single zilizofanikiwa sana kwenye radio kwa muda wote "In Da Club" na
alikuwa kashasainiwa Dr Dre na Eminem.
No comments:
Post a Comment