Monday 22 July 2013

KUTOKA BIG BROTHER AFRICA: ''POKELLO'' NA ''BASSEY'' OUT! SOMA HAPA


Mshiriki kutoka Zimbabwe, hot and sexy, Pokello, ameondolewa katika mashindano ya Big Brother jumapili iliyopita akiongozana na mshiriki kutoka Siera Lione "Bassey" na kuwa washiriki wa 15 kuondoka katika jumba hilo.
wakati anaondoka alimukumbatia na kum-kiss jamaa yake Elikem kabla ya kutembeza hugs kwa housemates wenzake, na

alipokuwa akiongoza kuelekea mlangoni, ulisikika ukimya na minong'ono ya hapa na pale kutoka kwa washiriki wenzake waliobaki

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...