Saturday, 20 July 2013

BIFU LA MANGE KIMAMBI NA SINTAH SASA LAFIKIA PABAYA:SINTAH ACHAMBWA BILA MAJI:JIPATIE UHONDO HAPA:

''USHAURI WA BURE - KUTOKANA NA MAELEZO YA HUYO KAKA YA MPAKA KUMTIA MIMBA HUYU MREKEBISHA TABIA WATOTO WA WENZAKE NI KWAMBA HATA CONDOM HATUMIAGI MPAKA ANAJAZWA MIMBA. DADA TUMIA CONDOM ,UTAKUFA KWA NGOMA, USIENDEKEZE UTAMU WA KUTOTUMIA CONDOM...TUTAKUPOTEZA:.......''
MMMH JUMA NATURE ALIONA MBALI KWA HILI LA NGOMA.... ''KWAHERI, KAA HUKO HUKO NA BALAA LAKO…….ETAENDELEA KUTEMBEA PEKE YAKO MJINI KAMA WALE VICHAA WAOKOTA MAKOPO. ILA ITS GOOD TO LOVE UR SELF, NASKIA HATA MOVIE UNAENDA MWENYEWE KWA RAHA ZAKO...HEHEHEHEEH.HAKI YA NANI SIKU IKIFIKA KWAMBA MJI MZIMA DAR HAKUNA HATA ANAETAKA KWENDA KULA LUNCH NA MIMI  MPAKA NAKAA MEZANI MWENYEWE KAMA MWANGA HATA KILLY JANGA ,KINA KEPTEN HAWANITAKI UWIIIIIII NTAJITUNDIKA……'''
HIYO NI TRAILER PICHA LENYEWE INGIA HUMU UPATE UTAMU WA KUCHAMBANA BILA MAJI 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...