Saturday 20 July 2013

AMGALIA VIDEO YA MWANAUME AKIPAMBANA NA PAPA KWENYE MAJI KISHUJAA


Kama itatokea kwa wakazi Connecticut kumwona papa, basi haitakuwa vibaya kwani watamuita Elliot Sudal aje kuokoa jahazi maana mwanaume huyo ni maarufu na mashughuri kwa uwezo wake wa kucheza na kuwakamata viumbe hao hatari wa baharini, na ndo hapa tunauthibisha ule usemi wa waswahili usemao "AVUMAYE BAHARINI PAPA KUMBE........"

Angalia Video Ikimwonesha mambo yake hapa chini:-

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...