Wednesday 26 June 2013

QUEEN DARLEEN AFUNGUKA: KWENYE MAPENZI UBABE NAUWEKA PEMBENI:


Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’.
Na Imelda Mtema
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ amesema pamoja na ubabe wake lakini linapofika suala la mapenzi anauweka pembeni.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Darleen alisema kwamba wanaume wamekuwa wakimchukulia tofauti kutokana na ubabe wake huo kwa kudhani kwamba siyo mtu wa kujali.
“Tofauti na jinsi nilivyo, mimi siko hivyo kabisa katika mambo ya mapenzi mambo ya ubabe hayana nafasi kabisa kwangu,” alisema

Darleen.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...