Baada
ya kutokea amesema sijasema, ni kweli ni uongo wiki iliyopita, kuhusu
kutoa maneno ya dharau kwa Marehem Albert Mangweha a.k.a Ngwea, (ujinga
wake umemfanya afe maskini), Ommy Dimpoz ametokea kupokea makopo na
chupa akiwa stajini (Kili tour) siku ya jumamosi ndani ya dodoma, Ommy
alionekana steji akiwa anaimba na kukwepa makopo kwa wakati mmoja na
baada ya kushindwa kuyavumilia aliamua kuachia stage na kushuka chini
na mwisho kuondoka na kurudi hotelini alipofikia
leo hii kupitia xxl Ommy Dimpoz amezungumza juu ya situation hiyo

"ndio
hivyo, nilikua nimepanda stajini, unajua kutokana na hili lililotokea,
kwa hiyo tangia mwanzo hata mimi wenyewe nilijua labda kunaweza
kukatokea fujo, lakini nilivyopanda watu walinipokea kuliko
nilivyotarajai, kwasababu ndio tumetoka katika vugu vugu hili la,
matatizo haya ambayo yamejitokeza sasa hivi.
kwahiyo ilivyofikia nimemaliza kuimba baadae, unajua hata kama kuna mtu alipanga kufanya fujo lakini ilikua sasa nguvu hata akipiga yeye akitaka kutumia nguvu ya watu wanaoshangilia ni wengi, ilipofika wakati naimba wa me and you, namalizia mwisho ndio kuna baadhi ya mashabiki wakarusha makopostajini, lakini si unajua mimi mwenyewe nimepitia kumfuu kidogo kwahiyo nikayapangua, nilicheza nayo paaaaa paaaaaa.
imeenezwa chuki kwamba mimi nimemtukana marehem Albert kitu ambacho sio kweli, nimejaribu kukielezea kwenye media mbali mbali kuwa si kweli, wametumia kauli yangu niliyoongea kupitia Killi siku ya Tanzania Music Awards wakati kitu nilichokiongea nitofauti na kitu kilichokuja kupandikizwa, lakini mi najua safari ya mziki ni ndefu, na mwenyezi mungu atajaalia tu haya mambo yatakwisha kwasababu hata yeye mwenyewe anajua sina kosa, sija mkosea mtu wala sina tatizo na mtu, nafanya tu maisha yangu ya mziki, lakini inapofikia time unajua mtu mwingine anaweza akaja tu na sababu zake binafsi kwa nia ya kukuvuta shati, lakini kama mungu amendika njia yako nyeupe basi itakuwa nyeupe tu, na hakuna njia iliyonyooka siku zote lazima inakua na vikwazo kidogo, kwa hiyo naamini hii ni mitihani tu itaisha kwasababu sina tatizo na mtu.
nachoamini binaadam tunakufa pengine roho pengine zinabaki zina hang, hata marehem mwenyewe naimani anajua kwamba sikumtukana...................
hii ni challenge tu naichukulia kwangu, pengine ni mitihani kwasabau sijawahi kuipata na ku experience katika maisha yangu ya mziki hiki ni kitu kikubwa nimekutana nacho kwa sasa, lakini naimani itakwisha." MSIKILIZE HAPA:

No comments:
Post a Comment