Monday 24 June 2013

MUME WA JOYCE KIRIA APOTEA KWENYE MAZINGIRA YA KUTATANISHA:

Henry mume wa joyce kiria ni mmoja kati ya viongoz wa Chedema jijini Dar es salaam ....Ameshilikiliwa na polis kwa mahojiano ya kuhusu kumwagiwa Tindikali kwa mtu huko Igunga...

Joyce Kiria....Ameandika hivi katika ukurasa wake wa Facebook
"Nimempelekea Henry chakula cha jioni majira ya saa 11 jioni hii pale central police, nikaambiwa wameshamchukuwa! Nikauliza kaenda wapi askari wa mapokezi akaniambia hata yeye hajui! Nikacheki na wakili Kibatala akaniambia hata yeye hana taarifa kama wamemchukuwa! Wapi haki ya mtuhumiwa? Familia yake haipaswi kujua anaenda wapi? Hata wakili anafichwa? Am so confused...

Ee Mungu mpiganie Mume wangu Henry popote alipo. Usimwache ahuzunike hata kidogo bali umpe nguvu ktk kipindi hiki cha mpito. Amen

My sweetheart Henry be strong, hata kama sipo na wewe physical lkn nipo pamoja na wewe mpz wangu. Mungu ni mwaminifu atatushindia.. Lv you big time mwaaaaa

Njiwa peleka salam
" Joyce Kiria

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...