Sunday 23 June 2013

CHECK HAPA VIDEO YA OMMY DIMPOZI AKIPIGWA CHUPA NA MAWE AKIWA STEJINI NA KUKATIZA SHOW YAKE DODOMA JANA:

Jana DODOMA katika show ya Kilimanjaro Ommy Dimpoz na  madansa  wake  wamejikuta  wakiambulia  kupigwa  mawe  na  chupa  jukwaani, hali  iliyowafanya  walikimbie  jukwaa...

Pamoja  na  kupigwa  mawe  na  makopo, jamaa  walijikaza  kisabuni  mpaka  baunsa  akaamua  kuwatoa  jukwaani ili  kunusuru  roho  zao.....

Kisa  cha  kupigwa  mawe  nkinatokana  na  tusi  la  Ommy Dimpoz  kwa  marehem Ngwea...

Ommy  alimtusi  Ngwea  kwa  kudai  kuwa  ujinga  wake  ulimfanya  afe  masikini  na  kwamba  yeye  kwa  sasa  amechoka  kuzika  watu  masikini...

ANGALIA VIDEO HIYO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...