Hii hapa chini ni video inayomwonyesha mama yake wema akitukana na kutoa vitisho kuwa atamchoma mtu kisu,hii ni kutokana na marafiki wengi wa wema kuwa ni wanafiki na wengi wao kumtumia mwanae kama chambo ktk mambo maovu.Tizama video hiyo ujionee mwenyewe mama alivyokuwa na hasira. |
No comments:
Post a Comment