Mkono wa Fikiri Haus 13 uliounguzwa unavyo onekana kwa
karibu huo ni ukatiri ulio kithiri
Mtoto Fikili Hausi Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Shule
ya Msingi ya Majengo Mansipaa ya Songea akiwa amelazwa Hospitali ya Mkoa baada
ya Kunguzwa Moto na Mama yake.
Jeshi la Police lina endelea kumtafuta mama yake Fikili
Hausi

No comments:
Post a Comment