
Semina hiyo ambayo ilifanyika katika ukumbi wa New World Cinema Mwenge,
ilihudhuriwa na wasanii tofauti ambao wamechaguliwa katika tuzo hizo
pamoja na ambao hawajachaguliwa ili kutaka kujua zaidi kuhusiana na tuzo
hizo ...
Hizi ni baadhi ya picha zinazowaonesha baadhi ya wasanii waliohudhuria semina hiyo ...
Hii nii video inayoonesha kinachoendelea hapa chini :
No comments:
Post a Comment