"Mnaonaje wimbo nilioingilia nao? aliuliza Obama, Rush Limbaugh,
nilikuonya kuhusiana na hili.term ya pili, baby, tunabadilisha vitu
kidogo.
Actually, washauri wangu, walikuwa na wasiwasi kidogo, kuhusu kuingia na
wimbo wa Rap, alikubali Obama na kusema ilikua imezoeleka kuingia na
wimbo wa kitamaduni.
Obama hakuishia hapo, aliendelea na kutiririsha utani, kuhusu kumpa go
ahead Jay Z, kwenye utata uliotokea kuhusu safari ya Jay Z na Beyonce
kwenda Cuba na pini jipya la Jay Z linamitaja Obama.
Vitu vingine viko nje ya uwezo wangu, kwamfano, huu utata uliopo kuhusu
safari ya Jay Z na Beyonce kwenda Cuba, ni ajabu, nina matatizo 99 na
sasa la Jay Z.
" hili ni rejeo lingine la HIp Hop" amesema Obama akirejea kwenye wimbo wa Jay Z "99 Problems"
Wiki
kadhaa zilizopita, Rais alijiweka mbali na safari hiyo ya Jay, kwa
kusema kuwa hakuwa anaelewa chochote juu ya safari hiyo ya HOV na
Beyonce kwenda Cuba.
No comments:
Post a Comment