Wednesday, 1 May 2013

KUWA WA KWANZA KUITAZAMA VIDEO MPYA YA MADEE – POMBE YANGU

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbVaW88jmzg6R4mTOGkdbGkYHe3HbIblNhXQUhaVhx2IBFanXBTigTMcwIroPX-Yek8ufuo_J7HjWFSKW9gWwt7ql88VJ56WyYisE8ag4JUKOtYXpll9PHh9MmtOYB6VoAVvlBjH894BY/s1600/pombe2.JPGPombe yangu ni single pekee ambayo Madee anakiri kwamba imevunja rekodi, hakuna single yake imewahi kumpa mafanikio kama hii, ina miezi miwili toka itoke lakini mpaka sasa imempa show 13, video inaanza kuonekana kuanzia kwenye sekunde ya 30.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...