UKATILI: VIDEO YA MATESO YA KIJANA MWIZI AKISULUBIWA NA WANAKIJIJI BAADA YA KUVUNJA DIRISHA LA NYUMBA ILI AIBE
Huyu ni mwizi aliyenaswa na wanakijiji nchini Uganda akijaribu kuvunja dirisha la nyumba ili aibe....
Wanakijiji
walipomnasa walianza kwa kumpa kichapo kikali kabla ya
kumfunga miguu na kumburuza barabarani huku wengine wakiendelea
kumshushia kichapo
VIDEO YA TUKIO HAPA:
No comments:
Post a Comment