Tuesday, 16 July 2013

KAMA UNATA KUMJUA YAHAYA WA KWENYE WIMBO WA LADY JAY DEE HUYU HAPA: HUWEZI KUMDHANIA TAZAMA PICHA ZAKE HAPA:


Msanii wa bongo movie anajulikana kwa jina la DUDE yeye ndie atakayecheza pati ya YAHAYA katika video mpya ya mwanadada LADY JAYDEE. Video hii imeanza kushutiwa Jana jioni, kaa tayari kwa kumuona Dude akiwa kama Yahaya 








No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...