Monday, 3 June 2013

TAZAMA VIDEO YA MAANDALIZI YA KUUSAFIRISHA MWILI WA MANGWEHA HAPA


aadhi ya Watanzania wakiwa nje ya Mochwari ya Serikali ulikohifadhiwa mwili wa Marehemu Albert Mangweha siku ya Ijumaa Mei 31, 2013. Mwili wa Mangweha unatarajiwa kuwasili nchini hapo kesho.

(Video kwa hisani ya  Millard Ayo wa Clouds FM aliyeko nchini Afrika Kusini)
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...