STAA wa sinema za Kibongo, Steve Mangere ‘Steve Nyerere’ ameweka
bayana kuwa anahisi amerogwa baada ya kuanza kujisikia vibaya huku
akiugua magonjwa ya ajabuajabu na mkono wake wa kulia kuvimba bila
sababu za msingi.
“Mimi nakwambia nitakuwa nimerogwa tu si bure, huu mkono umevimba bila sababu za msingi kwani sijaanguka wala kuumia,’’ alisema Steve.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Steve Mangere ‘Steve Nyerere’.
Akizungumza na BONGOCLANTZ.COM , Steve alisema kuwa mkono huo umevimba ghafla
hali inayompa wasiwasi mkubwa kwa sababu hajajua chanzo chake ndiyo
maana anahisi kuwa atakuwa amepigwa ‘kipapai’.“Mimi nakwambia nitakuwa nimerogwa tu si bure, huu mkono umevimba bila sababu za msingi kwani sijaanguka wala kuumia,’’ alisema Steve.
No comments:
Post a Comment