Nimepata Habari kuwa Mwanamuziki Ray C yupo hoi Kitandani Akiugua 
Ugonjwa Mpya Unaojulikana kama Homa ya Denge...Inasemekana Baada ya 
kutoa tuzo ya Kill  Siku ya Jumamosi Kesho yake alianza kuumwa Kichwa na
 Baadae alipelekwa Hospitalini Mwananyamala Akidhani ana Malaria, 
Alipopimwa ikagundulika unaumwa huo ugonjwa wa Denge......Ugonjwa huo 
inasemekana unaambikizwa kwa kung'atwa na Mbu
Get Well Soon


No comments:
Post a Comment