Sunday 4 May 2014

Diamond Platnumz Ameshuka zaidi Katika Mchakato Unaoendelea Wa Tuzo Za Kora, Tazama Nafasi Aliyoishika Sasa Kutoka Namba 2 Wiki Iliyopita..!!


List Ya washiriki wa tuzo za Kora mwaka 2014 imetoka kwa wiki hii na imekuwa mbaya zaidi kwa watanzania kwani tegemeo letu au mtu ambaye anatuwakilisha katika tuzo hizo ameporomoka kutoka nafasi ya 2 hadi nafasi ya 8. Unachotakiwa kukufanya kuzidi kuipaisha bendera ya Tz kwa kumpigia kura za kutosha Diamond Platnumz, ni kwenda kwenye ukurasa wa Kora Awards kisha katika picha utayoikuta andika jina la Diamond Platnumz ili kufanikisha apande zaidi na zaidi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...