Wananchi wenye hasira kali Kiwalani wakitoa kipigo cha Mbwa Mwizi kwa Vijana wawili wanaosadikiwa kuwa ni vibaka, wanaosumbua mitaani kwa kuiba na kukwapua, Vibaka hao wanajiita watoto wa Mbwa jumla ya idadi yao ni 40 ambapo mpaka sasa Vibaka 6 wameshauliwa na wananchi wa Kiwalani.
Hadi mdau wa habari hizi anaondoka eneo la tukio aliwaacha vijana hao wameshaaga dunia kufuatia kipindo kikali kilichoambatana na Mawe, matofali, mashoka, Nondo na vifaa vingine vyenye ncha kali.
Vibaka hao wakiwa wanachuruzika damu kutokana na kipigo kikali.
Wakazi wa Kiwalini wakubwa kwa wadogo wakiwa wamefurika eneo la tukio. (Picha shukrani kwa Mdau Vasmo Onesmo).
No comments:
Post a Comment