Swali: Je kama nimejamiiana na
mtu mwenye VVU na
nikaambukizwa je, naweza kupima
na kupata majibu siku hiyo hiyo
niliyojamiiana?
Jibu: Kuna kipindi kinachoitwa
kipindi cha mpito, VVU kuweza
kuzaliana na kuweza kugundulika
ambacho huwa ni baada ya miezi
3,
Vipimo vikubwa kama vile PCR
na ELISA huweza kugundua
maambukizi kwa mda wa siku 7-14
na vipimo vya haraka
vinavyotumika hapa mara nyingi ni
determine na bioline ambacho
huweza kugundua maambukizi
katika damu baada ya siku tatu
toka siku ya kwanza ya
maambukizi.
No comments:
Post a Comment