Wednesday 19 June 2013

MSANII DIAMOND NYUMA YA PAZIA YA PHOTOSHOOT. CHEK HAPA BAADHI YA PICHA

Siku ya jana nilikuwa na ratiba nyingi lakini hii ilikuwa moja ya
 ratiba muhimu sana kwa siku ya jana.....
Ratiba hii ilikuwa kwaajili ya kupiga picha zangu binafsi kwa
matumizi yangu kwenye Social Networks zangu na
Website kwa ujumla na pia bila kusahau baadhi ya picha ni zawadi
kabisa kwenu mashabiki zangu wa nguvu kwa
matumizi yenu kwenye social networks zenu binafsi......

Zifuatazo ni picha kadhaa nikijianda na Photoshoot hiyo kutoka
home hadi studio.....nimeamua kushare na nyinyi
muweze kujua kinachojiri ndani ya ulimwengu wangu.....
Home sweet home,nikijikoki kuweka silaha kabisa kwenda kufanya unyama wangu...!!
Safari ikaanzia hapa kuelekea Barbershop kuweka kichwa sawa kabisa u know as always,msafiiiii.....!!
QBoy msafii akichukua ukanda akiniweka kichwani sawa....
hahaha wasafii kuna kila kitu...!!
Hapa nilikuwa tayari nimewasili studio nikijiweka sawa usoni....!!
ON SET MAVAZI.....Qboy Upon this...!




White & Black,Gold kwa wingii......
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...