Kitu mapenzi jamani hakuna asiyekijua
na moyo ukipenda vigumu kuuzuiaa, mnaambiwa msiingilie wala kushadadia
ugomvi wa wawili wanaoongea wakiwa uc***i maana watapatana tu alafu
mtaumbuka, basi hiki ndicho kilichotokea kwa Hammer Q na mkewe bibie
Salha, pamoja na kupewa kipigo cha haja na mumewe hadi kumpelekea
kushonwa nyuzi kadhaa mwilini mwake lakini hiki ndicho alichoandika
bibie huyu SALHA muke halali wa HAMMER Q katika account yake ya
facebook, WAMBEA MPOOOO!!! MLOKUWA MNASHABIKIA AACHANE NA MUMEWE!!
EHEHEEIIYAAAA!!! MNAUMIAJE SASA..!!
Matatizo ameumbiwa
binaadam na binaadam ndie anaeyakuza matatizo Kwa binadam mwenzake Na
anadiriki kuinyima furaha na amanai nafsi ya mwenzake yote hii ni 7Bu ya
roho mbaya. Kuna binadam Wengine Hufurahia kuona binadam mwenzake
anapata matatizo Bila ya kukumbuka kuwa matatizo ni kama rizki leo kwa
mwenzako kesho kwako,wengine ni watu wazima Ila wamekosa fikra na upeo
lkn wamejaaliwa mvi na umri Tu hawana ubinadam.kuna watu wamefurahi
baada ya matatizo yangu na mume wangu wengine wameandaa sherehe wengine
wanadiriki kutuma sms kwangu eti kwamba hapo bado na tutazidi
kuwavuruga, na sms nying nying zenye mafumbo ...dah poleni sana wenye
roho nyeusi mulizopewa nyakati za usiku zenye nyota za kichawi ila mungu
ndo kiboko yenu 7bu mungu hafananishwii. Kauli ya mwisho ni inayotoka
moyoni mwangu na itakayoendelea kutoka mpaka mwisho wa pumzi yangu Mbali
na maneno mengi yaliokwisha semwa sehem mbalimbali na kuandikwa lkn
mimi ndo muamuzi wa mwisho .nina umri mdogo lkn mungu ameniumba na hekma
na busara (asante mungu) na km muliweza kuyaongelea wakati wa matatizo
pia kumbukeni kuyaongelea na wakati wa furaha pia kumbuka mungu
amemuumba binadam..Lkn Na binadam amejikabizi maslahi ya uovu ktk mdomo
wake kuongea anachotaka ilimradi aonekane bora bila ya kumkumbuka
aliemuumbA. juwa kwamba binadam Alie buni dawa ndie aliebuni ugonjwa na
aliebuni silaha ndie mchochezi wa vita ilimradi afanye biashara zake
anenepe na familia yake..namshkuru mungu naendelea vizuri tna sana
nawashkuru mlokuja kuniangalia nawashkuru munaonijali mpakamda huu
nawashkuru pia mulionishauri mazuri na mabaya nyote ni muhimu kwangu
kiroho safi nitaendelea kuwa -_--
Salha wa hammer Full stop nampenda mume wangu
Usiku mwema
KILA LA KHEIR SALHA HOPE MTAISHI VYEMA NA MUMEO NA WENYE VIJIBA NA KUTAKA KUWAARIBIA WATASHINDWA KWA NGUVU YA ALLAH SUBHANNAH
No comments:
Post a Comment