Monday, 30 June 2014

DIAMOND KWENYE TUZO ZA BET 2014 AKIHOJIWA NA GIRLFRIEND WA CHRIS BROWN..

Screen Shot 2014-06-30 at 4.32.15 AM 
Karrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown
alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudhuria tuzo
za BET 2014 ambazo Mtanzania Diamond Platnumz alichaguliwa kushiriki
kama msanii kutoka Afrika na tuzo hiyo kuchukuliwa na Davido wa Nigeria
.
Katika watu ambao Karrueche aliwahoji ni Diamond Platnumz ambae
alielezea ni jinsi gani amefurahi kuwepo kwenye kuwania tuzo ya BET
2014, alimtaja msanii ambae angependa kumuona kwenye stage ndani ya
usiku huu pamoja na mengine tazama kwenye hii video fupi hapa chini.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...