MAKUBWA HAYA.. LULU AOMBA BASATA WARUHUSU KUFANYA MOVIE NUSU UTUPU WAENDANE NA SOKO LA KIMATAIFA
DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka
zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize nusu
utupu ili kuendana na soko la kimataifa.
No comments:
Post a Comment