Huko Instagram Kumenuka
ni kuhusu ugomvi unaoendelea wa Kajala na Wema Sepetu, na kati hayo yote
alitajwa Clement kuwa ndiye muhusika na aliweza kutembea na Marafiki
wawili Kajala na Wema Sepetu, kutoka insta huyo ndiye Clement Kigogo wa
ikulu aliyefaidi penzi la Wema Sepetu na La Kajala. Akaunti moja
iliyopo insta ambayo ni team wema imefungunga kuhusu kajala na huyu
Clement na hivi ndivyo ilivyosema
Nanukuu "huyu
hapa ndio kigogo wa ikuruu jina lake kamili ni clement kihondo aka CK
anafanya kazi katika ofisi ya raisi kitengo cha ndege ya MH.raisi JK na
aliwahi kuwa muhasibu wa raisi na sehemu anayo fanyia kazi iko posta
karibu na bandarini duniani hakuna siri clement ulijua utajificha mpaka
lini...nili promic kuwa nitakupata n leo nimekuonesha kuwa ninauwezo wa
kukupata...mshenzi mmoja ww unae haribu watoto wawatu...unamke na watoto
mkeo anabaa yake dodoma karb na bungeni unashindwa mpa pesa mkeo
afungue hotel ya 5 stars...watu kama kama ww ni wakuchomwa moto hamfai
kwenye dunia yetu wala nchi yetu mshenzi mmoja ww...afu nikupe taarifa
nina file lako loteeeee na ujue kama najua ulimpeleka @new_kajala
china akanunue vifaa vya studio...jamn tukubali tukataee this man his
sexual abusing women yani hupati kazi kwake unless ulale naeee ss
wananchi tunajituma kwa nguvu zetu afu mijitu mingine inapita
kunenepeana kwa kula malinza serikari yetu tena ww clement ushukuru mh
mrema ametolewa katika hicho kitengo zenzi ya nyerere ungekuwa unasota
jera ss hv...sio siri huwa nachefukwa sanaaa na watu kama hawa mbaba
mzima badala ya kulea familia yako unakazi kupita kuangaika na watoto
wadogo mshenzi mbwa mkubwa ww na najua leo accnt yangu utaifunga ila
nkuoe taarifa sijar cz nitafungua nyingine......jamani jamn picha ya
clement ndio hiyo hapa kitu na proveeeee....msiondoke bado naendelea
baadae more tu come cz sio watu mnaonge vitu msivyo vijuaaaa clement huo
ni mwanzoooooooooo"
No comments:
Post a Comment