Wengi imewashangaza kuona kuwa wawili hawa wanapata muda wa kukaa pamoja
na kufanya vitu romantic kama kwenda Vacation, kuutokana na picha hizi
zilizokuwa released hivi karibuni na magazeti ya udaku nchini
Marekani...Picha hizi zimewaonyesha wawili hao walikuwa wakifanya hivyo
(Picha hizi zilipigwa mwaka 2012).
Tofauti na Jay Z na Beyonce ambao mara kwa mara wamekuwa wakienda
vacation ..kwa upande wa Kanye and Kim mara nyingi wamekuwa mitaani na
mapaparazi huwapicha picha...
Wengi wanaamini kuwa Kanye anaonekana kuwa sio mtu wakupenda vitu kama
Vacations..Anaonekana yuko VERY SERIOUS.....Jionee picha hizo!!
No comments:
Post a Comment