Ingawa kuna fununu ambazo si rasmi kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya
Master Jay na Shaa,hapa kuna stori tofauti ambayo Soudy Brown
anai-amplify kuhusu mke wa Master Jay kutoka na msanii wa Bongo
fleva,hapa utamsikia Master Jay na msanii anayesemekana kumchukua Mke wa
Master Jay.
Sikiliza Hapa:
No comments:
Post a Comment